Poleni kwa msiba
Naangalia shughuli ya msiba wa Lowasa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani
Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani
RIP Mzee wetu