X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Tupo ktk msiba wa Micheal Jackson hapa, watu wanalia sana, tupo na kina 50 Cent, Akon, Lil Wayne, Bow wow barazani, namuona Jay z huyooo anapita na sahani ya mchango, ohh Obama nae Kaingi na wapambe wake anamkumbatia Janet huku analia.
Jikoni kuna akina Beyonce, Rihana, Alicia Keys wanachagua mchele....
Nachungulia nje namuona P.Diddy, Fat Joe, R.Kerry wanapasua kuni...
Nitaendelea kukujuilisha zaidi kila linalojiri hapa.... Nisalimie Bongo!