Msiba wa Michael Jackson

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Tupo ktk msiba wa Micheal Jackson hapa, watu wanalia sana, tupo na kina 50 Cent, Akon, Lil Wayne, Bow wow barazani, namuona Jay z huyooo anapita na sahani ya mchango, ohh Obama nae Kaingi na wapambe wake anamkumbatia Janet huku analia.

Jikoni kuna akina Beyonce, Rihana, Alicia Keys wanachagua mchele....

Nachungulia nje namuona P.Diddy, Fat Joe, R.Kerry wanapasua kuni...

Nitaendelea kukujuilisha zaidi kila linalojiri hapa.... Nisalimie Bongo!
 

Nina uhakika zaidi ya asilimia 90% wewe ni mangi kutoka kilimanjaro.
 


Duh poleni sana,
Vp Bill Gates yupo? kuna jamaa alinirushia kwamba leo ndio atakua mwandazi kupanga watu kwenye mistari ya chakulana tei ni kweli?
 
Ina maana X hujaniona mie pale nlikuwa napitisha daftari la michango?
 
Mawazo kijani ya mbuzi hayakui na yakizeeka hayabadili asili ujani'
 
Watani wake ni akina nani na wanasemaje ebu lete utani wa msiba wa mj, maana hao wanatufariji sisi wafiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…