pamoja Mkuu BAKLizzy, msibani kwanza na kama bado kuna muda wa kutosha kwenye sherehe vinginevyo hakuna ubaya kuikosa sherehe kwa kuamua kwenda msibani. Mzima wewe?
pamoja mdada MRnitaanza na msiba mengineo baadae
Hapa pazuri! Kuna mambo mawili...Guys..kama tunavyojua msiba hua haupangwi!Sasa ikatokea siku ambayo ndugu yako ana sherehe ambayo katika hali ya kawaida huwezi kukosa hata kama uko mbali!Siku hiyo hiyo kwa bahati mbaya mwenzi wako (hata kama hamjaona..kwenye mahusiano ambayo ni solid kiasi cha kushirikiana mambo ya kifamilia)akapatwa na msiba wa mtu wake wa karibu sana (kaka..dada..mama..baba n.k!)...utaenda wapi??Kusikitika na mpenzi au kufurahi na familia yako!!
Mi mzima mpendwa!Vipi wewe?