Nawapa pole ndugu, marafiki, majirani , wana JF na jamaa wote wa Mpenzi wa Islam . RIP
mimi ni mkristu lakini huyo bana hudhani ameshafika mbinguni... anasahau hata kukwaza watu pia si mafundisho ya mungu! na sasa ananyooshea vidole watu! very sick indeed...Mbona unataka kupoteza watu!? Anyway kwa niaba ya familia napokea pole yako!