businesslink
Senior Member
- Mar 20, 2019
- 129
- 115
Wapemba ni ndugu zao wa damu kabisa!
We ni mzanzibarWalitegemea kuchinjwa askari ingeendelea kuwa tabia za wabongo. Mpango kazi wa Marehemu ulifuta huo uchuro waliotaka kutuambukiza.
Unadhani ni kwa sababu gani walitaka kuwachinja askari au walipandwa uendawazimu?Walitegemea kuchinjwa askari ingeendelea kuwa tabia za wabongo. Mpango kazi wa Marehemu ulifuta huo uchuro waliotaka kutuambukiza.
Mwisho mtawakamata kwa kutokwenda msibani, jamani mkifiwa muwe wavumilivu, sio kila mtu anaelewa uchungu wa majobzi yenu.
Mwisho mtaanza kuwakagua kama wamelia au la, msiba wenu sio wao.
Waacheni watu waishi maisha yao.