Msiba Wa Ruge Vs Kanumba

clouds media kwa kupaisha misiba ni wazuri sana.... nakumbuka wa mangwair, na mke wa kibonde mwaka jana..... wanaazimisha mtu awe maarufu kupita umaarufu wake hata kama hajulikani........ nakumbuka Albert Mangwair alikufa kwa kujizidishia madawa ya kulevya lakini walitangaza jamaa ni shujaa na akazikwa kishujaa.... HAPO KWA RUGE SIKUSHANGAA SANA MAANA NI KAWAIDA YAO NA HUYO ALIKUWA BOSS PALE.
 
Msiba wa Ruge bila promo ungekuwa kama msiba wa Godzila tu, wangapi walimfahamu Ruge kabla hajaanza kuombewa mchango/kufariki? Waliomfahamu sana ni wasanii, wadau wa sanaa, wakubwa wa taasisi mbalimbali,wanasiasa na wafanyakazi wake, watu wa kawaida sio wengi waliomjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwasababu hakuw mtu wakujisifia kama wewe, yeye kimy kimy Scofield
 
Kanumba ilikuwa ni balaa kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Kanumba uliwagusa saana watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tz haujawahi tokea msiba mkubwa kama Wa kanumba,watu machozi yalilenga lenga baada ya kupata taarfa hzo wakati tulikuwa hatujawah kutana na kanumba.
 
Yaan wake na waume..mmekaliza sehem zenu za siri kabisa.

Kujadili ninani msiba wake unafananishwa na wa Baba wa taifa.

Kwamba msiba upi umezidi wa mwenzake??

SHAME ON YOU[emoji53]( bahat yenu nmekoswa Emoj ya Dole la kati).
 
Acha kufananisha msiba wa kanumba the great na huyu kivu ruge.
RIP kanumba, nchi ilisimama bila kuhamasishwa.though msiba ni mgumu kwa yeyote unayemgusa. Mimi binafsi msiba wa kanumba uliniuzunisha sana kulipo wa huyu mgonjwa wa kujitakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…