Hivi mi ndio sikuelewa au taarifa haijilewi. Sasa hapo ametiaje aibu, amelitia vipi kundi hili aibu! Au ndo zile za habari nzuri haiuzi hivyo kichwa cha habari lazima kiwe ambiguity.
Hivi mi ndio sikuelewa au taarifa haijilewi. Sasa hapo ametiaje aibu, amelitia vipi kundi hili aibu! Au ndo zile za habari nzuri haiuzi hivyo kichwa cha habari lazima kiwe ambiguity.
Hata walioandika Habari hii nayo ni aibu, napinga sana uwepo wa haya magazeti uchwara ya Udaku.
Ningeshangaa kama usingejitokeza hapa, hawa wana hasira ule msiba haukutokea Dar es salaam na isitoshe ni wa Kiislamu kwahiyo hawakupata fursa ya kuunda kamati zao za kitapeli za kusimamia mazishi ili kupiga pesa ndefu kama walivyofanikiwa kujinufaisha na msiba wa Kanumba.Kwani unalazimishwa kusoma?
Ningeshangaa kama usingejitokeza hapa, hawa wana hasira ule msiba haukutokea Dar es salaam na isitoshe ni wa Kiislamu kwahiyo hawakupata fursa ya kuunda kamati zao za kitapeli za kusimamia mazishi ili kupiga pesa ndefu kama walivyofanikiwa kujinufaisha na msiba wa Kanumba.
Afanaaaleki!
Nadhani Mwandishi anamaanisha kuwa " wale wengine walitoa fedha kiduchu mno wakati yeye peke yake alitoa hizo 200,000=. Binafsi naona iko sawasawa. Chukulia labda aliyemfatia alitoa 2,000=!!!
Ningeshangaa kama usingejitokeza hapa, hawa wana hasira ule msiba haukutokea Dar es salaam na isitoshe ni wa Kiislamu kwahiyo hawakupata fursa ya kuunda kamati zao za kitapeli za kusimamia mazishi ili kupiga pesa ndefu kama walivyofanikiwa kujinufaisha na msiba wa Kanumba.
Umeona hakujitangaza yeye; NI NDUGU wa FAMILIA aliyetoa SIRI HIZO... SIO WEMA
habari inaongezewa kabisa kwamba" wasanii wengine waliishia kutia aibu" so kama hawana hawakutakiwa kwenda kuzika? habari nyingine ni aibu tupu.