Thread yako ina mapungufu makubwa sana, kwahiyo wasiowaumini hili tangazo haliwahusu? halafu huyu ni allah au Allah?innalillah wainna illahi rajiun.
Hatimae leo sheikh wetu , kipenzi cha waumini afrika mashariki amerejea kwa kwa mola wake. Mwenyezi mungu amuwie radhi.
Tunamwomba allah, awape nguvu na subira familia yake na waumini wote kustahamili msiba huu mkubwa.
watu wengine wanaleta uzi za kichokozi!! sasa hayo maneno "innalillah wainna illahi rajiun". si utafsiri kwa kiswahili? ndio nyie mnaleta udini humu ndani.
innalillah wainna illahi rajiun.
Hatimae leo sheikh wetu , kipenzi cha waumini afrika mashariki amerejea kwa kwa mola wake. Mwenyezi mungu amuwie radhi.
Tunamwomba allah, awape nguvu na subira familia yake na waumini wote kustahamili msiba huu mkubwa.
Thread yako ina mapungufu makubwa sana, kwahiyo wasiowaumini hili tangazo haliwahusu? halafu huyu ni allah au Allah?
Msiba huu ni mkubwa je kuna msiba mdogo? hivi na Mashekh siku hizi ni Ma-celeb? jipange kabla ya kuandika thread humu.

naona chuki ya waziwazi juu U-Islam, sijaona dalili ya udini katika post lakini mtu ameitwa mdini duh, sidhani kama kuna anayelazimishwa kuchangia thread, kama hujaelewa lugha acha walioelewa wachangie kwani wewe siyo muhimu sana.
Mimi jambo kabisa Madame, happy Valentines day.Kuna watu wakiwemo lazima waharibu tu. Hujambo Matola ?, nimekumiss
kutokana na mgogoro ulioibuka hapa donge kwenye mazishi ya sheikh nassor bachuu pale kaburi lake lilipochimbwa karibu na msikiti kitu ambacho kwa mujibu wa ahli sunna ni kosa na wamekataa kabisa kumzika hapo na tayari wamekaa kikao pamoja na wanafamilia na wameshatoa uamuzi kupitia sheikh nurdin kishki na kinachofuata hivi sasa ni kuchimbwa kaburi jengine na wamewataka maelfu ya waislamu waliofika hapo kuwa na subra HII NI NOW NOWThread yako ina mapungufu makubwa sana, kwahiyo wasiowaumini hili tangazo haliwahusu? halafu huyu ni allah au Allah?
Msiba huu ni mkubwa je kuna msiba mdogo? hivi na Mashekh siku hizi ni Ma-celeb? jipange kabla ya kuandika thread humu.
Kwan huyo sheikh ni wa wapi??yaan ungeweka hata utangulizi kidogo.Kuna mtu alipost msiba wa askofu mmoja wa kanda ya kaskazini,alianza na utangulizi,hata kwa mtu ambaye hamfaham anaweza kupata picha....ila kwa hii naona uliteleza mkuu....NO RIP(simfahamu)
na mgogoro umeiibuka hapa donge kwenye mazishi ya sheikh nassor bachuu pale kaburi lake lilipochimbwa karibu na msikiti kitu ambacho kwa mujibu wa ahli sunna ni kosa na wamekataa kabisa kumzika hapo na tayari wamekaa kikao pamoja na wanafamilia na wameshatoa uamuzi kupitia sheikh nurdin kishki na kinachofuata hivi sasa ni kuchimbwa kaburi jengine na wamewataka maelfu ya waislamu waliofika hapo kuwa na subrasasa hivi sala ya maiti ndio anaswaliwa al marhum sheikh nassor bachu katika viwanja vya mnazi mmoja , zanzibar
Smile kuna Mpemba kaiba password yako ndio anapost humu siamini kama huyu ni wewe, kuna code number humu za kuwagunduwa Mujahidina miandiko yao naijuwa vyema.kutokana na mgogoro ulioibuka hapa donge kwenye mazishi ya sheikh nassor bachuu pale kaburi lake lilipochimbwa karibu na msikiti kitu ambacho kwa mujibu wa ahli sunna ni kosa na wamekataa kabisa kumzika hapo na tayari wamekaa kikao pamoja na wanafamilia na wameshatoa uamuzi kupitia sheikh nurdin kishki na kinachofuata hivi sasa ni kuchimbwa kaburi jengine na wamewataka maelfu ya waislamu waliofika hapo kuwa na subra HII NI NOW NOW