Msiba

Msiba

bwanashamba

Senior Member
Joined
Mar 29, 2010
Posts
193
Reaction score
3
Breaking news
Ndugu BENEDICT KOMBA amefariki dunia gafla usiku wa
kuakia leo nyumbani kwake Ndugu Benedict alikua mtangazaji wa TBC One Taifa.
 
Ni mmoja wa Watangazaji wachache waliojoin TBC wakati huo ikiitwa RTD fresh from UDSM enzi hizo!, ikizingatia wakati huo hakuna degree zozote za journalism humu nchini.

RIP Ben,
 
Duh! Mwaka wa mashaka. Huyu ni Mtangazaji wa pili wa TBC kwa mwaka huu. Poleni familia ya marehemu, poleni TBC, poleni waandihi wote wa habari
 
Poleni Wafiwa. Mungu ampe mapumziko mema, Ameni.
 
poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu awape nguvu wakati huu wa majonzi.
 
Back
Top Bottom