B bwanashamba Senior Member Joined Mar 29, 2010 Posts 193 Reaction score 3 May 14, 2010 #1 Breaking news Ndugu BENEDICT KOMBA amefariki dunia gafla usiku wa kuakia leo nyumbani kwake Ndugu Benedict alikua mtangazaji wa TBC One Taifa.
Breaking news Ndugu BENEDICT KOMBA amefariki dunia gafla usiku wa kuakia leo nyumbani kwake Ndugu Benedict alikua mtangazaji wa TBC One Taifa.
Katikomile JF-Expert Member Joined Jul 12, 2007 Posts 471 Reaction score 74 May 14, 2010 #3 BEN KIKO ama?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 May 14, 2010 #4 Dah R.I.P Ben Komba
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 May 14, 2010 #5 Ni mmoja wa Watangazaji wachache waliojoin TBC wakati huo ikiitwa RTD fresh from UDSM enzi hizo!, ikizingatia wakati huo hakuna degree zozote za journalism humu nchini. RIP Ben,
Ni mmoja wa Watangazaji wachache waliojoin TBC wakati huo ikiitwa RTD fresh from UDSM enzi hizo!, ikizingatia wakati huo hakuna degree zozote za journalism humu nchini. RIP Ben,
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 530 May 14, 2010 #6 Duh! Mwaka wa mashaka. Huyu ni Mtangazaji wa pili wa TBC kwa mwaka huu. Poleni familia ya marehemu, poleni TBC, poleni waandihi wote wa habari
Duh! Mwaka wa mashaka. Huyu ni Mtangazaji wa pili wa TBC kwa mwaka huu. Poleni familia ya marehemu, poleni TBC, poleni waandihi wote wa habari
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 May 14, 2010 #7 oooh RIP Ben tuwekeeni picha tafadhari
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,889 May 14, 2010 #8 RIP Ben. Poleni wafiwa.
StaffordKibona JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 669 Reaction score 60 May 14, 2010 #10 Bwana Alitoa na BWANA Huyo huyo AMETWAA. Amen
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 May 14, 2010 #11 MjasiriamaliShupavu said: BEN KIKO ama? Click to expand... Poleni wafiwa mjasiriamalishupavu, avanta yako mkuu...mhhhh. inatia kichefuchefu, inafanya wengine tusisome hata posts zako
MjasiriamaliShupavu said: BEN KIKO ama? Click to expand... Poleni wafiwa mjasiriamalishupavu, avanta yako mkuu...mhhhh. inatia kichefuchefu, inafanya wengine tusisome hata posts zako
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 May 14, 2010 #13 MjasiriamaliShupavu said: BEN KIKO ama? Click to expand... No huyo aliitwa Benedict Kikoti! RIP
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 May 14, 2010 #14 Poleni Wafiwa. Mungu ampe mapumziko mema, Ameni.
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,580 May 14, 2010 #16 MUNGU amrehemu
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 May 14, 2010 #17 poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu awape nguvu wakati huu wa majonzi.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 May 14, 2010 #18 Poleni kwa msiba!! RIP
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 May 14, 2010 #19 R.i.p........