Msibani| Historia za marehemu na unafiki wa MC.

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
632
Reaction score
572
Jamani tunapo wasindikiza hawa ndugu zetu kupumzika mahali walijichagulia tutumie ukweli siku zetu ziongezeke.
Marehemu kafa sawa na historia yake haijapishana sana na ya hatia na kitutu tofauti ni experiance.

Mkienda kwa Msiba Mjiulize na mtafakari......
stroke ya siku mbili inakondesha ?
presha ya kupanda na kushuka inapandisha mabega?
kifua kinafanya mtu awe mweusi?
kama ukimwi unauwaga nani alisha wai kufa kwenye msiba waka tangaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…