Msibani siyo jukwaa la siasa nchini Kenya seneta nusura apigwe makofi,wanasiasa badilikeni

Msibani siyo jukwaa la siasa nchini Kenya seneta nusura apigwe makofi,wanasiasa badilikeni

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mwaka jana kuna msiba ulitokea nchini Kenya na senator Bony Khalwale akihudhuria msiba ule na kwakuwa yeye ni kiongozi mkubwa akapewa wasaa wa kuzungumza lakini senetor huyo akatumia fursa hiyo kuzungumzia masuala ya kisiasa ,alichukua advantage ya jukwaa hilo kama ulingo wa kisiasa



Wakati anaaanza kuzungumza siasa zake [emoji115] kuna mwanamama mwenye uchungu ,majonzi ya msiba aliinuka na kwenda kumnyanganya mic na kuanza kufoka kwa hasira na almanusura senetor huyo aambulie makofi na kwakuwa alitambua aliteleza akawa mdogo kama printon na lau angeendelea angeambulia makofi kwa aibu ile hakuendelea kuzungumza tena na aliondoka kabisa


Inakuwaje familia ya Mwakyembe hakutokea kidume kwenda kumnyamazisha spika ,pale sio ulingo wa kisiasa watu wamekutana kufarijiana lau angeyazungumza maneno yale ya kisiasa kwa familia ile ya Kenya basi leo tungezungumza mengine.

Hekima:"kuweka jambo kwenye sehemu inayostahili


Spika Job Ndugai: Isingekuwa kanuni, kuna Wabunge wa hovyo ningeamuru wachapwe viboko bungeni
 
Back
Top Bottom