Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tofauti tu ni kwamba akitongoza yeye anatakiwa awe juu...!
Eti jamani ,
msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?
tena mi huwa wanashia kuniniliwa hadi kwa kameruni halafu nduki mbaya asinizoee..
tena mi huwa wanashia kuniniliwa hadi kwa kameruni halafu nduki mbaya asinizoee..
Mbona enzi za wavulana kutongoza zilishakwisha siku nyingi?
Eh .. kutongoza ndio nini?