nyani ngabu .....nasty ni hiyo kuwa hajajisafisha uzuri na hiyo nguo ya ndani ikapita? nguo za ndani za aina hizo zote ni nasty ? au kuvaa nguo za ndani zozote zikaonekana ni nasty?
Upande wangu kivazi hicho sioni kaa ni nasty, inaweza kuwa si comfortable kwa kuvaa hasa na denim na safari ndefu na hasa kukiwa na joto ( yaweza sababisha michubuko), but sioni u nasty wake kama mtu anataka kukivaa lets say nyumbani kwake ambapo atakuwa amekaa kitako muda mrefu na full kiyoyozi 😀
back to the mada, nikiona msichana kavaa hivyo nafikiri
1: maskini anapuuza maandiko ya mungu
2: utoto unamhangaisha akikuwa ataacha
3: maybe yupo anamtega mtu