Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
HUYU ALIKUWA NI MVULANA TOKA ANAZALIWA. KAMA NI KWELI NA MADAKTAR HAO WALIMBADILISHA JINSIA WANSHINDWAJE KUMFANYA MWANAME ASIYEKUWA NA UWEZO WA KUJAMIANA NA MWANAMKE AWEZE? NINA WASIWASI KUWA ALIKUWA NA JINSIA MBILI WAKAUA ILE INGINE WAKABAKIZA YA KIUMEHalafu nasikia ana hamu na papuchi balaa!!
Uko sahihi. Huyu lazima ni XY kinasaba (masculine genetically). Inawezekana alizaliwa na ambigious sex organs na madaktari wakazirekebisha hizo sex organs zake tata kama ulivyoeleza. Lakini pia inawezekana alikuwa na testosterone insestivity syndrome au kwa jina la zamani Klifeters syndrome) na madaktari wakamrekebisha kihomoni na kumtengenezea phalous ( uume) bandia by reconstructive plastic surgery. Tatizo litabaki kuwa hatakuwa na uwezo wa kuzalisha mwanamuke kama atakuwa ni Kliniferters syndrome aliyetengenezewa uume bandia. Hata angeendelea na hiyo phenotype yake ya kike bado hangeweza kuzaa.HUYU ALIKUWA NI MVULANA TOKA ANAZALIWA. KAMA NI KWELI NA MADAKTAR HAO WALIMBADILISHA JINSIA WANSHINDWAJE KUMFANYA MWANAME ASIYEKUWA NA UWEZO WA KUJAMIANA NA MWANAMKE AWEZE? NINA WASIWASI KUWA ALIKUWA NA JINSIA MBILI WAKAUA ILE INGINE WAKABAKIZA YA KIUME
Hili ndo swali la msingiAna kifaa cha kiume?
lazima atakua na kifanyio cha kiumeAna kifaa cha kiume?
Hahaha!..nmecheka kwa nguvu asee.Halafu nasikia ana hamu na papuchi balaa!!
ohooo!!Halafu nasikia ana hamu na papuchi balaa!!
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu nasikia ana hamu na papuchi balaa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni changamoto kwa wanaume ambao tutaoa baadaye. Unaweza dhani umeoa Valentina Mbugua, kumbe alizaliwa Valentino.
Like plastic and cosmetic surgeries weren't enough to freak us out, damn!