Msichana anahitajika kufanya secretarial duties

tikotiko

Member
Joined
Jul 9, 2010
Posts
26
Reaction score
0
Wana JF

Nahitaji MSICHANA mwenye uzoefu wa kazi za SECRETARIAL SERVICES.



Ofisi yetu ipo maeneo ya Mnazi Mmmoja, around CLOCK TOWER, Dar es Salaam itakuwa inajihusisha na kazi zifuatazo:-
  1. All type of Secretarial Services (Typing, Phone & Fax Communication Services)
  2. Photocopying, Printing works & Scanning
  3. Internet Services (future plans...to start in abaout a month)
  4. Selling of Airtime (re-charge vouchers...Zain, tIGO, Vodacom, Zantel etc
  5. Selling soft drinks & all other stationary supplies
  6. CD Burning & Recording
Ofisi itakuwa na watendaji wawili, KIJANA wa kushughulikia masuala ya Internet na Printing works (large printing) and CD burning & recording tayari amepatikana.

Kwa yeyote anayemfahamu mtu, au BINTI mwenye uzoefu wa kazi hii ani-PM au anitumie email kwa kutumia address (email hii hapa chini)

slukanga71@gmail.com

ASANTENI
 
mheshimiwa salamu kwako, naomba nikujulishe kuwa, nina wasichana wawili ambao wanatofauti katika uzoefu,
 
WAKUKAJA nakushukuru! Nitumie details kwa email niliyoweka hapo, nifanye mawasiliano moja kwa moja. Maybe I'll pick one of them tukielewana.

Asante sana
 
LUTALA hujasoma post ya jamaa? Anataka Secretary...siyo msichana wa ndani
 

Ndugu Umeshapata msichana au bado nikuletee muumini wangu mmoja?
 

Kama hujapata bado hebu cheki na huyu mwenye namba hii 0714-019938 mtaongea
 
Mnaanika namba za mabinti hapa si ungem-pm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…