miss msemakweli
Member
- Aug 5, 2011
- 11
- 1
Mi nahitaji msichana wa kazi lakini huyo wa part time, hapana.
Alafu J2 awe off kama anafanya kazi Serikalini!
miss msemakweli,angalia usije ukawa unafanya ile biashara haramu ya binadamu. muambie adai laki,siku hizi wa kuondoka ndo rates zao. kila la kheri.
Mie ninahitaji ila anatakiwa kufanya kazi siku zote 7.
Na atakaa kwangu.
Mie bachelor.
OTIS.
unataka uka mdushelelee nini..