Ni nani kakuambia atakuoa? Bado hata hujampenda umeshafikiria kuolewa naye? Subiri kwanza umpende. Hayo mambo yakuolewa weka kando. UTALIZWA!!!!!!
Hau ol a yu nao?
Be careful na jamii forums, nakupa angalizo tu.
can i please be honest with you??????????ucjidanganye hakunaga mapenzi ya hivyo drop out tafuta umpendaye kwa moyo wako usije ukajuta baadaye......u got that @ LERIONKA???????am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu wanasema msichana anaweza akajifunza kupenda, je nikiendelea kuwa nae karibu nitampenda siku maana naogopa kuolewa nae bcoz nadhani kunasiku nitaboreka nae kama sijamuaccept. naombeni ushauri wenu.
Hau ol a yu nao?
Be careful na jamii forums, nakupa angalizo tu.
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni dalili but napenda nimuaccept na nimkubali awe mume wangu lakini hata kumbusu kawaida naona shida, watu wanasema msichana anaweza akajifunza kupenda, je nikiendelea kuwa nae karibu nitampenda siku maana naogopa kuolewa nae bcoz nadhani kunasiku nitaboreka nae kama sijamuaccept. naombeni ushauri wenu.