Ni nani kakuambia atakuoa? Bado hata hujampenda umeshafikiria kuolewa naye? Subiri kwanza umpende. Hayo mambo yakuolewa weka kando. UTALIZWA!!!!!!
Hau ol a yu nao?
Be careful na jamii forums, nakupa angalizo tu.
can i please be honest with you??????????ucjidanganye hakunaga mapenzi ya hivyo drop out tafuta umpendaye kwa moyo wako usije ukajuta baadaye......u got that @ LERIONKA???????
What do u want? Kuolewa?
1- Waweza penda asiyekupenda!
2- Waweza pendwa na usiyempenda!
3- Na waweza penda anayekupenda!
1 na 2 ndio malalamiko mengi humu ndani, 3, ni chache waweza bahatika lkn.
Kujibu swali lako, waweza jifunza kumpenda mtu, lkn kama anakudisgust (nafikiri huyo ndicho unachofeel), ni ngumu. Lkn kama unamuona kawaida, waweza jifunza kumpenda.
i am not rushing to marriage but was wondering supoz he suggests about marrying me and then still sijamaccept will i learn kumpenda, i admit nilifanya kosa kuwanae ktk mahusiano koz i thot nikiwa nae karibu nitampenda kama baadhi ya watu wanavosemaListen 2ur heart, dnt rush into marriage my dear, u'l regrate
yah siwezi sema sikuumizwa niliumizwa sio kidogo, namm sipendi kufanya the same still hatujafika mbali but wala kueka komitment yoyote lakini namuona yuko namuonekano positive, niliingia nikadhani labda nikiwa nae karibu nitamzoea then nitampenda, but nisipokuwa nae nammis nikiwa nae karibu ooh najifeel my heart isnt there kabisa but in my mind is a gud guy.ww, unamkubalije mtu ilhali ndani ya moyo wako hayupo hata kidogo, binti, kama huhamasiki hata akikukiss kwa shavu my dear, endelea kuisubiri miujiza, ulichotakiwa kufanya kuanzia mwanzo kwanza ni kumweleza huyo bwana kuwa huna feelings nae au ungemwambia akupe muda ambao ww ungeendelea kujipima kama uko tayar kuwa nae or not, inaonekana kama uliumizwa ukaamua kumalizia machungu kwa jamaa, angalia my dear, ndoa si mchezo, kuishi na mtu usiyempenda ni bonge la mtihan, mwish, fuata moyo wako
blue g, ahsante but naona the guy is gud but my feelings is not there so huwa nasikia people wanalearn to love ndomana nikadhani i can do that, am rush into marriage.
are still waiting for miracles?? lol!
pole kwa kuumizwa wangu, jipe mda usirush, nahc bado una feelings kwa aliyekuumiza ndio maana unashindwa kumuaccept huyu jamaa, ila all in all, bado nakushauri take your tym si vizur kufanya maamuz ukiwa desperate baada ya kuumizwa, kama unavyosema jamaa ni gud guy na bado humpend ila unammiss asipokuwepo, inawezekana unaenjoy tu company yake, or ni kwa sabab anakuamnbia kile unachotaka kuckia, think n rethink, usiingie kwenye ndoa kabla hujawa sure na maamuz yako,yah siwezi sema sikuumizwa niliumizwa sio kidogo, namm sipendi kufanya the same still hatujafika mbali but wala kueka komitment yoyote lakini namuona yuko namuonekano positive, niliingia nikadhani labda nikiwa nae karibu nitamzoea then nitampenda, but nisipokuwa nae nammis nikiwa nae karibu ooh najifeel my heart isnt there kabisa but in my mind is a gud guy.
blue g, ahsante but naona the guy is gud but my feelings is not there so huwa nasikia people wanalearn to love ndomana nikadhani i can do that, am rush into marriage.
pole kwa kuumizwa wangu, jipe mda usirush, nahc bado una feelings kwa aliyekuumiza ndio maana unashindwa kumuaccept huyu jamaa, ila all in all, bado nakushauri take your tym si vizur kufanya maamuz ukiwa desperate baada ya kuumizwa, kama unavyosema jamaa ni gud guy na bado humpend ila unammiss asipokuwepo, inawezekana unaenjoy tu company yake, or ni kwa sabab anakuamnbia kile unachotaka kuckia, think n rethink, usiingie kwenye ndoa kabla hujawa sure na maamuz yako,
dont be fooled,uckimbilie ndoa itakayo kufanya ulie baadaye....ndoa means a lot. tel me utakuwa tayari kumserve kwa kila kitu???????kumwekea maji kumfulia na kumheshimu ikiwa humpendi???????please think twice and dont rush 26 is not a big deal i hope umeniquote!!!!!!!
thax sana mmenisaidia