Msichana anichekea, aniuliza uelekeo na kupotea ghafla

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
505
Wadau kwema humu,

Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye ni mgonjwa. Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa, nikiwa nanunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa umri kama miaka 25 hivi amesimama pembeni yangu

Nilipogeuka tuligongana macho, akaanza kutabasamu tu na nikampuuza nikaendelea kuzunmgza na muuza maji. Mara akanishika bega, nilipogeuka akacheka akatasamu.

Nikamuliza unasemaje akasema hakuna kitu,basi tu. Badae akaniambia kituo cha mwendokasi kipo wapi? Nikamuonesha na hakuelekea huko tena.

Sasa alipoondoka nikamuuliza muuza maji unamfahamu
 
Unaonekana wewe sio ri-jari.
 
Dadeki zako najuta kusoma upuuzi wako huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa haaa haaa
Yule alikuwa jini mahaba.
Ulinusurika.
 
Kama unasomaga jf hebu tupe mrejesho. Je, mgonjwa uliyeenda kumwona bado yupo hai?? Je, weye ulilala salama hadi asubuhi?? Hujamuona tena yule mdada?? Hilo ni Jini Makata au Mahepe.
 
Nipo salama mkuu
Kama unasomaga jf hebu tupe mrejesho. Je, mgonjwa uliyeenda kumwona bado yupo hai?? Je, weye ulilala salama hadi asubuhi?? Hujamuona tena yule mdada?? Hilo ni Jini Makata au Mahepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…