Msichana hakuamini alichokiona ndan ya gari:yani kama movie


Du kweli hii noma, ndo maana ukibeba ucku vinakimbilia kuwasha taa na kuangalia nyuma! bonge la story tangu niijue mmu!
 
Hii imekaa kama hadisii vile za uwongo.

Mana kupenda miaka saba si mchezo.

Watu siku hizi kujua demu wake in out ni week moja au mbili itakuwa maximum, wewe umechukua miaka saba!!!!!

We ata ya uongo unaweza kutunga? nyie ndo mnaoandika za ukabila umu!
 
Utunzi huu kwa hisani ya ....
Uchuma wa miaka saba si wehu huo!!!!
 
shenzi taipu huyo mdada. Nimefurahia umoja na ushirikiano mlioonyesha, big up.
 
We ata ya uongo unaweza kutunga? nyie ndo mnaoandika za ukabila umu!
Hapo kwani kuna ugomvi....Si kila mtu anatoa mawazo yake au kosa kutoa wazo langu.
 

afadhal umwambie askie.Huu mkasa ni wa kwel na umemtokea rafk yangu anasoma chuo cha bandari.Watu wanadhan kila ki2 ni urongo
 
Kwa kweli ni mkasa wa kweli na ndo mana kwenye heading nkaweka neno KAMA MOVIE .Imekaa kistor zaid ila amini usiamin ni tukio lililotokea haizd miez mi 3 nyuma.Jamaa kanionesha hadi huyo demu na kilichonifurahsha jamaa wameendelea na urafk wao demu wamempga kibuti
 
Kamuuzie Kanumba atengeneze movie labda utapata cha juu.....kama kweli au urongo usiache ipite hivi hivi...fanza utengeze picha

Kaka nlikuwa nafkiria hlo tatzo huyo kanumba kumpata ishu.Niconect nae
 
Jamani hadith ndefuu sana mmoja ajitolee aifupishe just for me pse.
 
Ndiyo staili ya maisha ya ck hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…