Msichana hakuamini alichokiona ndan ya gari:yani kama movie

Kwenye uhusiano wa Girlfriend na BOYFRIEND, uchumba WA MUDA MREFU NA HATA ndoa TNADANGANYANA SANA TUUUU!!! TUPO WENGI TUNA SHARE HIZI MBUNYE BASI NI MUNGU ANATUEPUSHA NA MAGONJWA
 
I love the story. Iwe ya kweli au ya kutunga. Moral: Trust no one!
 
Wanawake kwa uwezo wa kudanganya nawasifu.
OTIS
 
Bonge la stori ntakumia vocha uimalizie mazee
 
i love it mana watu wanapenda sana ku ignore story za wenzao.
 

Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Wote mna makosa, yaani mmoja miaka 3 mnafanya dhambi tuuuuuuuu ya uzinzi, kuoa no!!!!! mwingine miaka 7! jamani tuuuu muchi, sasa ebu muoe kihalali kuliko kuendekeza uzinzi, la sivyo movie inarudiwa hiyo
 
Bonge la story.....ni wasiwasi wasanii wa bongo movie wanaweza kuitumia!
 
Mkuu Kande kavu umenifurahisha sana. you made my day!!😛oa
 
Da! Safi sana madada wa sikuhizi hawana maana,
ila mi nkisikia visa hv hamu ya mapenzi ndo inazidi kupotea.
 
haya ndo mapenzi yanaitwa ya ki.com!! nakumbuka mzee mzima nurusa nitembee uchi miaka mitatu iliyopita, demu wangu alinambia anaenda kwa uncle kumbe yule uncle ni ankooooooooooooo!!! ilipokuja kubumbuluka nikatamani mbingu zifunguke nitangulie na ndo enzi hizo nilikuwa na A+ ya malavidavi...

hali kama hiyo ikanitokea tena mara ya pili na ya tatu kwa wapenzi waliofata, na si kwamba nilikuwa nawatendea mabaya rahasha, na nilijituma kwelikweli kwao hasa katika mambo yetu yaleeeeeee, wakati mwingine sikiwa nacheza mbali na google kujifunza yale maujanja ya mambo yetu lakini wapi...

baada ya experience kali sana hizo walizonipa nimekomaa barabara na kinamna nawasalute, saizi nina F+ ya malavidavi so siruhusu hawa viumbe wanitendee upuuzi, nkiona mawingu tu, navuta mwanvuli (napiga chini) hata kama mvua haijaanza kunyesha....

ila nijuacho tu wakishachoka wanarudigi hao kuja kutest zali, mi nilishawafungia vioo muda tu mpaka leo wananipigia kelele eti bado wana mafeeling na eti wanamsingizia shetani kasababisha....Mpe pole zake kama sio wewe na pia mwambie ndo ma experience hayo
 
dah miaka saba yote mtu hajatangaza ndoa? no wonder msichana aliamua kucheat, aniways ilikua such an interesting story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…