Msichana kumjali mpenzi wake ni hongo?

ndivyo inavyotakiwa msaidiane maisha kusaidiana na pia ktk mapenzi n kusaidiana.
 
mm uwa siongi napenda kusaidiana,usimuache bwana kuwa mkweli kwa mpz wako kama una kitu mwambie usiogope na usipende kuongwa na sio kuongwa ni kusaidiana kama uwa unasema mpz wako anakuonga sio vzr.

Nimekuelewa
 
mkuu msichana kumpenda king'ast wake sio hongo, nadhan inapaswa wote wapende hvyo, NI UPENDO HUO BHANA!
 
warekibishe shossi we ndio malenga wetu.

Nimekusikia sahibu nitatekeleza wajibu
Kiswahili hakiwasibu ndo mana wakiharibu
Tumeridhi kwa mababu ili tusiwe mabubu
Leo wanakiharibu na nyie mmekuwa mabubu
 
tena hao wana ume ukiwa fanyia hivyo wana kuona *****, na huwezi kumkosa, ata chua advatages tena bcz una mfanyia ih san ,na pia ata kua ana kuongelea kwa washkaji zake kama demu wangu havunji hapindui, ana toa kila kitu, lazima wanawake tuwe ngangari awa vidume wa siku hizi,,,,,nmmmhh,
 
Hiyo ni kusaidiana ila siku hz wanaume nao,...! Kwa mizinga ya vocha na kuomba misaada! Khaaa!
 
wanao fikiri na kusema hivyo ni wavivu wa kufikiria.....
 
Msijichanganye bure wapenzi! Wanaume tukipenda kwa dhati huwa hatusemi tumehongwa, sawa tu na mlivyo watoto wa kike. Kama hujampenda mwanaume kwa dhati unamwita buzi na kudai unamchuna lakini ukimpenda kwa dhati unasema "Ananijali kweli Dear wangu". Kama hamniamini anzeni uchunguzi wenu upya leo hii. Mwanaume anayakupenda hasa na kuona fahari kuwa na wewe hawezi kukuponda kwa kukutangaza kwa watu eti unamhonga. Vinginevyo atakuwa mshamba sana au pengine wewe mwanamke una sifa mbovu pale kitaa sasa, ili kuhalalisha kuwa na wewe inabidi ajishaue kwa washikaji kuwa unahonga ili kuficha ukweli kuwa amekupenda pamoja na sifa zako kuwa hovyo hapo mtaani. Huu ni uzoefu wangu tu na si msahafu au code of all guys. Mkitaka kupima uzito chunguzeni wenyewe.
 
Wahida Honey, wanaume wa zamani wewe ulikutana nao wapi hata uwalaumu wa siku hizi?
 

Mhhhh! DA mapenzi ni nipe nikupe sasa hawa wenye dhana hii kwamba wanapokuwa hali zao kifedha si nzuri na dada akagharimia matumiko ya nguvu ili kujirusha sehemu sehemu na pia kupewa pocket money ya kumsogeza halafu akasema yule mwanamke ni muhongaji sana basi amepitwa na wakati na inaelekea hajui maana ya mapenzi.
 

Kumbuka bado tuna taswira ya utamaduni wetu waliotufundisha mababu zetu yaani mwanaume yuko juu ya mwanamke..Yaani kitu unachosema ni sawa na kuwasimulia dada au ndugu wa kike wa mpenzi wako wa kiume ya kuwa mpenzi wako wa kiume anafua nguo zako za ndani..anapiga deki nyumba..anafangia na kunyonyesha watoto maziwa...subiri uone ndugu wa kike wa familia ya kiume watakavyokuja juu na kusema umemchezea kaka yao....(Note: Kwa upande wangu mimi binafsi..kama mwanaume sijali kufanya hayo..yaani nafanya sana)...

Hivyo hoja uliyotoa ni positive kwa wanaume wenye mitazano ya miaka ya 47" na negative kwa wanaume wenye mitazamo ya kisasa..yaani wenye kuamini mwanaume na mwanamke ni sawa..
 
taabu tupu, ukimhudumia taabu, akihudumia atakwambia umemfanya ATM
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…