Ukiingiza upepo hapo umedanjii..
Ukisikia jambo kama hili tuliza akili wala usiingize wenge..ukienda kupima huna kitu.
Nilishapita na kitoto kizuri kumbe ni vile vya mama salma..aseee nilitulia zangu nikaja kupima km mara 9 hivi..hadi south africa nilipima - basi maisha yakaendelea na kuna jamaa ameoa kile kimanzi na wana watoto