Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

G-stev

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
13
Reaction score
10
Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya form four japo alienda chuo hakufanikiwa kumaliza kwa changamoto za ada. Kwa aliye tayari tuwasiliane. Asanteni
 
Mungu akupe haja ya moyo wako
 
Kuna Grocery ipo maji ya chai arusha anatakiwa mfanyakazi wa kike. Namba 0763759391
 
Back
Top Bottom