Habarini wanajukwaa
Mtu mzima mwanaume mwenye makamo ya miaka 50+ anahitaji msichana umri 21-27 kwa mahusiano ya kudumu.
Vigezo vya muhimu uwe Dar es Salaam, elimu ya kidato cha 4 kushuka chini. Uwe mkristo, usiwe na mtoto au kama unaye 1 ni sawa, usiwe unakunywa pombe, usiwe bonge (umbo lisilovutia) kama mnene muonekano uwe mzuri. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.
Muhimu uwe tayari kwa mahusiano ya kudumu. Usiwe mwenye ajira. Kama wewe au mtu umjuaye karibia PM. Tabia njema ni zingatio.