Msichana uliye tayari inakuhusu

Msichana uliye tayari inakuhusu

ngulangwa

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani.
3. Mwenye degree elimu kuanzia form six au diploma
4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia

kuhusu mimi:
1. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
2.mimi mrefu mwembamba maji ya kunde.
3. aliyetayari ANICHEKI kwenye email sngulangwa@yahoo.com au anitext 0682008819
 
Back
Top Bottom