Msichana wa duka

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Natafuta kazi ya kuuza duka au nyingine ili niweze kujikimu kimaisha.. Namba yangu 0716769273
 
Natafuta kazi ya kuuza duka au nyingine ili niweze kujikimu kimaisha.. Namba yangu 0716769273

Weka CV yako ukieleza elimu yako, uzoefu wa kazi nk (if you are serious)
 
Mimi nina restaurant inahitaji mtu wa kuhudumia,elezea ulipo na kiwango chako cha elimu,pia kianzio chako cha mshahara,
Natafuta kazi ya kuuza duka au nyingine ili niweze kujikimu kimaisha.. Namba yangu 0716769273
 
Manka umepotea?
njoo jibu maswali ulambe kazi,jf kila kitu kinawezekana!
 
Dogo mi namtafuta mtu wa kuuza duka langu
Eneo; Morogoro nanenane.kakini ingekuwa vizuri ujieleze vizuri, hasa sehemu unapo toka
 
Mpigie cm namba yake hiyo nimeweka if ur serious mselewa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…