Msichana wa Jf, ananimaliza ila ipo siku nitamwambia tu

Few days to come utakuta anakuletea kadi ya mchango wa harusi au uje kumuona ameshavimbishwa tumbo hahahaaaaa utalia au utarudi tena hapa kusimulia?
 
Toa kilo mdomoni hizo.watu watabeba halafu utaishia kuweka thread nyingine ya kulalamika
 
Dah!,huyu dada ni shidaaa!,nampenda ile mbayaaaa!
 
Few days to come utakuta anakuletea kadi ya mchango wa harusi au uje kumuona ameshavimbishwa tumbo hahahaaaaa utalia au utarudi tena hapa kusimulia?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…