Msichana wa kazi anahitajika haraka

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
1,773
Reaction score
688
Nahitaji msichana wa kazi haraka. Kituo cha kazi ni Dar. Asiwe ana mtoto wala asiwe ameolewa (sina nia mbaya na hili, nina maana yangu). Atakayekuwa tayari naomba aniPM tuwasiliane zaidi.
 
nyie sio wale mkishapata wasichana wa kazi mnawanyanyasa kama wao hawakuzaliwa kama nyie na pia mnawaona kama hawana thamani na pia hawana lolote??
 
Mkuu toa ofa!! mazingira ya kazi na kazi atakazokuwa anafanya! Ikibidi utaje na hizo qualification kabisa.
 
Job description, please? Baby care, taking babies to school, house care, etc.
 
Umefanya vizuri kuandika hapa mkuu, naamini wasichana wengi ambao wanataka kazi hizo wapo hapa JF (kwa kupitia sim na computers)... utapata tu.
 
nyie sio wale mkishapata wasichana wa kazi mnawanyanyasa kama wao hawakuzaliwa kama nyie na pia mnawaona kama hawana thamani na pia hawana lolote??
Kama hutaki wewe basi nyamaza, huna haja ya kuanza kuonyesha negative attitude. Wapo wanaotaka. Ubongo mwingine bana!
 
Job description, please? Baby care, taking babies to school, house care, etc.
Kazi kubwa itakuwa ni kufanya usafi wa nyumba (sio nguo), kuandaa chakula na kushinda na mtoto. Salary sitaiweka hapa, ila ofa ni pamoja na mafunzo ya computer MS applications na kilatini hapo hapo nyumbani (kama atahitaji).
 
Wawili wamejitokeza ila nimeshindwa masharti yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…