Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV
Job Discription:
Kufanya shughuri zote za ndani ikiwemo kupika, usafi wa nyumba kwa familia ndogo.
Mshahara - Kima cha chini cha serikali
Kwa mwenye Interrest au anajua mtu anayetaka hiyo kazi aniandikie mbogela@jamiiforums.com au Pm
Asanten
Je atakuwa anaishi kwako au anafanya na kurudi home?
houseboy vipi??
akikosekana pia sio mbaya!!, kazi za kike haziwezi kumshinda mwanaume!hahaha jamani kasema hausigal
akikosekana pia sio mbaya!!, kazi za kike haziwezi kumshinda mwanaume!
Hivi we mtafuta HG umeoa?
teh teeh, huyu mtafuta hausigeli najua yuko SINGO ndio maana nimeuliza kama akikosekana hausigeli zen tuangalie otenativu, yuu noo wora i miiin?!.Hahaha! Mpwa kuna zinazoshinda wanaume. Kama ile ya kufanya kazi za mama wakati mama anapokuwa kasafiri.
wewe call kijijini kwenu kama anaweza patikana binti wa kazi, hayo ya kuoa muachie muhucka.
teh teeh, huyu mtafuta hausigeli najua yuko SINGO ndio maana nimeuliza kama akikosekana hausigeli zen tuangalie otenativu, yuu noo wora i miiin?!.
We unaliona dogo? sawa mtafutie.
duh, ebanaeee watu wanamahesabu makali aseeHahaha! Mpwa bana! Ulijuaje? Avatar au? Stuka! Unaweza kuta huyu mtu ni HE anatafuta kifaranga kimtindo! Housegirl anakula mshahara kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali na mkataba wa miezi mitatu, au hujaisoma hiyo? Na NSSF atakatiwa siyo?
Kila la kheri. Ila angalizo hapo kwenye umri. Angalia usijetumbukia kwenye ajira za watoto. Pia ungetoa angalizo la kijiji chenyewe kilipo kuna vitu kama hali ya hewa au umbali aliopo mwajiriwa mtarajiwa.