Kuna vyeti vya madukani mama.Asante kwa angalizo, lakini sidhani kama kwa mfumo wa Elimu ya Tanzania 7 + 4 atakuwa kwenye category ya watoto, maana nimesema awe Form IV kama alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 7 kama amemaliza mwaka jana atakuwa na umri wa miaka 18 Je ni mtoto huyu?
Lakini Mkuu majukumu ya House Girl na "House wife" nadhani yanatofautiana sana au nimekosea? Lakini umenichekesha kuwa unajua niko single sasa why ask?teh teeh, huyu mtafuta hausigeli najua yuko SINGO ndio maana nimeuliza kama akikosekana hausigeli zen tuangalie otenativu, yuu noo wora i miiin?!.
Lakini Mkuu majukumu ya House Girl ana House wife nadhani yanatofautiana sana au nimekosea? Lakini umenichekesha kuwa unajua niko single sasa why ask?
ha ha ha Maisha yenyewe magumu haya, tunapiga vita ufisadi hap kila siku kwanini sisi wenyewe tusianze kuwa mfano? Kumlipa mtu sawa sawa na kazi yake. Kama mtu anataka kulipwa vizuri aende shule, na kama ameenda shule kwanini nisimlipe sawa sawa na shule yake.Hahaha! Mpwa bana! Ulijuaje? Avatar au? Stuka! Unaweza kuta huyu mtu ni HE anatafuta kifaranga kimtindo! Housegirl anakula mshahara kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali na mkataba wa miezi mitatu, au hujaisoma hiyo? Na NSSF atakatiwa siyo?
Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV
Job Discription:
Kufanya shughuri zote za ndani ikiwemo kupika, usafi wa nyumba kwa familia ndogo.
Mshahara - Kima cha chini cha serikali
Kwa mwenye Interrest au anajua mtu anayetaka hiyo kazi aniandikie mbogela@jamiiforums.com au Pm
Asanten
ha ha ha Maisha yenyewe magumu haya, tunapiga vita ufisadi hap kila siku kwanini sisi wenyewe tusianze kuwa mfano? Kumlipa mtu sawa sawa na kazi yake. Kama mtu anataka kulipwa vizuri aende shule, na kama ameenda shule kwanini nisimlipe sawa sawa na shule yake.
kama atapewa mkataba wa kudumu basi atakula NSSF na Income tax as well. Tunaweza kuibadiri ajira ya majumbani kuwa ajira rasimi na chanzo cha mapato, kwani hukusikia muheshimiwa alivyosema mwaka jana kuhusu ajila 1,000,000? alizitaja zipi?
Ataishi kwangu, lakini akimua kuishi kwake haitakuwa tabu lakini kumbuka ni kijijini. Ajira inapatika wilayani Makete
Unagopa asije pata promosheni ya kulala chumbani kwa baba???? ha ha ha ha
Ni rahisi Interview inaweza kupigwa Dar kwani wapo wataalam wanaoweza kusaidia process ikiwa pamoja na kumtafutia ticket hata kumsindikiza Ubungo bus TerminalJe nauli ya kuja kupiga interview utatoa kuna binti yule Kisarawe nataka nimlete.
Hiyo bold ikisomeka kuzaa na baba, you will understand what I mean! Hahaha! Mbogela bana! Stuka!
Sikuwa nafahamu kuwa mtu mwenye elimu ya kiwango cha form IV anakuwa housegirl!
Kucounteract hiyo imebidi mwajiri aweke masilahi mazuri kidogo kuliko nafasi za mjini
Wewe hatutaweza kukulipa kufuatana na elimu yako, Pia elimu yako haitapata matumizi mazuri. Lakini nina proposal nyingine kwa ajili yako. Tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuandika miradi, kusimamia, kutoa report kwa wafadhiri kwa muda muafaka, kusaidia kuanda bajeti, kuandaa mafunzo kwa waVVU na kufundisha, kusaidia staffing, kuplan Mobile VCT kusimamia HBC na kufanya assesement. Huko huko Kijijini, Mwajiri http://www.piuma-simba.org/site/Mhh mie naitamani hiyo kazi ila elimu yangu ni ya juu Bsc. Home economics and human nutrition je nina qualify?
Mbogela said:Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
Hivi we mtafuta HG umeoa?