Kweli mkuu mbona kuna site nyingi sana za kutafutia wachumba? Kwi kwi Jamaa ameamua kunimwaga tu, Kumtoa mtu out ukampe maneno inacost kiasi gani mpaka uingie kwa gia za kutafuta mhudumu wa nyumbani khaaTeh teh teh! Mshikaji hatafuti mchumba, anatafuta HG!
Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV
Job Discription:
Kufanya shughuri zote za ndani ikiwemo kupika, usafi wa nyumba kwa familia ndogo.Mshahara - Kima cha chini cha serikali
Kwa mwenye Interrest au anajua mtu anayetaka hiyo kazi aniandikie mbogela@jamiiforums.com au Pm
Asanten
Kweli mkuu mbona kuna site nyingi sana za kutafutia wachumba? Kwi kwi Jamaa ameamua kunimwaga tu, Kumtoa mtu out ukampe maneno inacost kiasi gani mpaka uingie kwa gia za kutafuta mhudumu wa nyumbani khaa
Taratibu mkuu, akikuchenjia mimi simo! Mimi naamini kweli anatafuta HG, tumsaidie tu mkuu. Si unacheki kwenye sifa hajainclude figure, sura, urefu n.k?
Mkuu ilikuwa sentensi yangu mwajiri, Nilikuwa nafafanua kuwa nikihitaji mchumba au demu sijui mbona kuna site nyingi na wapo wengi wanatafuta watu wawatoe out alafu wakawape maneno ha ha ha
we vipi mtu ataenda kununua cheti ili awe hausgalKuna vyeti vya madukani mama.
Tutakapofikia hali hiyo basi wanafunzi wa vyuo vikuu watakuwa wanatuhudumia kwenye mabaa, wakulima wetu wa monelemango watakuwa wanasoma Makaubaliano ya Marais juu ya mazao ya chakula kwenye mikutano yao ya WTOwe vipi mtu ataenda kununua cheti ili awe hausgal
fikiria kidogo
Tutakapofikia hali hiyo basi wanafunzi wa vyuo vikuu watakuwa wanatuhudumia kwenye mabaa, wakulima wetu wa monelemango watakuwa wanasoma Makaubaliano ya Marais juu ya mazao ya chakula kwenye mikutano yao ya WTO
Ataishi kwangu, lakini akimua kuishi kwake haitakuwa tabu lakini kumbuka ni kijijini. Ajira inapatika wilayani Makete
Hahaha! Mpwa kuna zinazoshinda wanaume. Kama ile ya kufanya kazi za mama wakati mama anapokuwa kasafiri.