Msichana wa Kazi Saluni ya Kike anahitajika

Msichana wa Kazi Saluni ya Kike anahitajika

meisaloon

New Member
Joined
Aug 18, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari

Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike iliyopo Mbagala kuu, Dar es salaam -njia ya Kijichi. Awe anajua kusuka mitindo yote, kuweka dawa, steaming, kuosha nywele na kazi nyinginezo za saluni ya kike.

Itapendeza zaidi akitokea maeneo ya karibu na huku kama vile Mbagala, Temeke, Kijichi nk. Kuhusu mshahara tutaelewana kabla ya kazi. Kama upo tayari nicheki dm
 
Back
Top Bottom