MSICHANA WA KAZI vs BOSS WAKE!

Dr Mushi

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
70
Reaction score
40
Ni kwa nn watu wengi hunyanyasa wasichana wa kazi huku wanategemea huyo huyo kukaa na mtoto wao kama ndugu yake?
Je, hawa wasichana wana akili timamu? ......Kama wanayo, tujiulize ,,..je..unawezaje kukaa na watu kwa upendo ilhali ww unaonekana kama takataka? (doormart). Kama unamdharau. Mfanyakazi wako na kumuona kama kinyago,... huo upendo wa kuonesha mtoto wako pindi unapokua kazini atautoa wapi? Kama umeshawahi sikia mtoto kunyongwa na dada wa kazi karibu mgahawani !!!
 
Mada nzuri lakini IPO jukwaa lisilo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…