Msichana wa kazi za katibu muhtasi (secretary )anahitajika

Msichana wa kazi za katibu muhtasi (secretary )anahitajika

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
SELU Investments (T) Company Limited ni kampuni mpya inayojishughulisha na Secretarial duties, Internet & Telecommunication Services (Fax, Telephone Services etc). Kmapuni inaa malengo ya ku-expand zaidi na kufanya kazi za Clearing and Forwarding, pamoja na Customs Certificate. Kwa kuanzia tunajishughulisha na Telecomunication Services, Typing, Scanning, Photocopy Sevices, Printing etc...

Tunahitaji msichana mwenye uzzoefu wa kazi hizo na aliyesomea. Ofisi ipo Clock Tower area

Kwa mwenye sifaa hizo awasiliane nasi kwa emaail seluinvestments@gmail.com

Asante

Mshahara ni maapatano
 
Back
Top Bottom