SELU Investments (T) Company Limited ni kampuni mpya inayojishughulisha na Secretarial duties, Internet & Telecommunication Services (Fax, Telephone Services etc). Kmapuni inaa malengo ya ku-expand zaidi na kufanya kazi za Clearing and Forwarding, pamoja na Customs Certificate. Kwa kuanzia tunajishughulisha na Telecomunication Services, Typing, Scanning, Photocopy Sevices, Printing etc...
Tunahitaji msichana mwenye uzzoefu wa kazi hizo na aliyesomea. Ofisi ipo Clock Tower area