Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Demu ananiambia awezi rudiana na jamaa, nimejaribu kuongea na dada yake ameniambia demu hamind mchizi. Sema jamaa ni playboy na muongeaji sana, kwa kifupi ni mtu wa misifa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Lazima amchape yaani watu Kama hao nawajua vzr huwa Wana confidence na misifa hata Kama mfukoni hawana hata 100.
 
Mkuu ulijuaje Wanawasiliana?

Unanikumbusha mwaka fulani nilikuwa na binti mmoja. Binti huyo alikuwa ananipenda kupitiliza. Alikuwa yupo tayari kunipa chochote ili mradi tuu nimpende.

Kasoro kubwa aliyokuwa nayo ni suala la umri. Yeye alikuwa mkubwa kwangu kwa miaka miwili. Ukweli ni kuwa mimi sikuwa nampenda.

Binti tukaishi ndani ya chumba kimoja kwa miezi nane tukipika na kupakua. Kiukweli nilihisi kuanza kumpenda.

Binti akaanza drama akasahau mimi ni JokaJeusi nyani mzee.

Siku moja tumekaa akanambia X wake anamsumbua. Akanionyesha SMS za huyo mshikaji ambaye aliponionyesha picha yake nikakumbuka alikuwa Waziri wa Mikopo Pale Udsm mimi nikiwa mwaka wa kwanza.

Wivu ukaanza kuniandama. Mapenzi yakazidi kwa yule manzi. Wazo la kutaka kumuoa likapata nguvu. Manzi akaniambia nijitokeze kwao. Kuhusu Mahari nisijali atajitolea.

Roho ya tamaa ikaniingia. Tamaa ya mali. Manzi ananyumba ya urithi na kigari kidogo. Mimi ndio nilikuwa nimemaliza chuo. Kazi sina pesa sina. Tamaa ikazidi.

Dogo akawa anapigiwa na X wake. Nilichogundua ni kuwa hakuwa na uwezo wa kumtukana wala kumkataza kwa kauli thabiti huyo X wake.

Nilipomueleza akanambia hawezi fanya hivyo kwa kuwa hana uhakika na mimi. Akasema walau ningejitokeza kwao.

Hapo ndipo nilipojua kuna Game inachezwa. JokaJeusi akili zikanirudia.

Nikajua hapa huyu Manzi ananifanyia drama ili nimuoe kwa haraka.

Nilipokuja kuchunguza kwa umakini nikagundua kuwa zilikuwa hila za huyu mwanamke kunifanya niharakishe ndoa ili lengo lake litimie.

Nikajua ningezubaa ningepigwa.

Kumbe walipatana kunitia kihoro ili nipate presha ya kumuoa.

Chunga sana mkuu kwenye ishu kama hizo.

Ningekuwa Mimi ningeahirisha hiyo ndoa mpaka mambo yakae poa
 
Ipo siku atamla akiongeza speed kidogo atafanikiwa huwa hawaachanagi ila wanapumzika
 
Hapo mwishoni ndio umeongea maneno yakuwagusa wengi humu
 
Naona same story inanitokea now yani Kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu ananiambia awezi rudiana na jamaa, nimejaribu kuongea na dada yake ameniambia demu hamind mchizi. Sema jamaa ni playboy na muongeaji sana, kwa kifupi ni mtu wa misifa.
Hapo lazima akamatike tu, ni kiasi cha dem dem wako kumpa nafasi ya kusikiliza sound za jamaaa
 
Hapo lazima akamatike tu, ni kiasi cha dem dem wako kumpa nafasi ya kusikiliza sound za jamaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani akimpa masikio tu kumsikiliza ameliwa.
 
Huyo msichana wako amemlegezea x wake,ndio maana jamaa bado anakomaa,na lazima ale mzigo,hata mkioana atakuja kugonga tu kimya kimya
 
Ongea na huyu πŸ‘‡
Bamkwe wa kishua, atakunyooshea mtu anayemsumbua

mwanamke wako.
😎

Your browser is not able to display this video.
 

Wazee wa kufukua makaburi

Ni yupi Kati ya wale wawili?
 
Hii ni muendelezo wa hili kaburi
 
kwasababu yeye amekosa kuwa na msimamo na hana maamuzi, sasa chukua wewe maamuzi na msimamo kuhusu uhusiano unaoutaka
Naona bado ananihitaji mimi na amefanya vile kuniambia juu ya usumbufu wa uyu jamaa ili ni mwone mwema.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜† basi unajiona mjanja sana hapo.
 
Wa kulimaliza tatizo ni msichana wako, awe na msimamo! Amwambie x wake anaolewa, ana mchumba! Kwani atamlazimisha?!
Mi nashangaaga hawa ma X ni vipi wanakuwa na nguvu kama hawawi entertained na wapenzi wetu.

Unakuta mtu anawasiliana nae tena kwa kuanza kumfokonyoa kila siku ili wachat kipindi wewe ukiwa mishe mishe. Kisha ukiuliza vipi unajibiwa kua jamaa ndie msumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…