Msichokujua CHADEMA ni kwamba Polepole anapigania reforms za chama chake na wala hapiganii maslahi yenu, chukuweni tahadhari

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu.

Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa alivyombagaza kwa chuki zake za wasiwasi mimi huyu mtu bado simuamini wame husika na jinai nyingi sana akiwa mwenezi ni yeye huyu huyu aliasisi uungwaji mkono juhudi kwa kuwatisha madiwani na wabunge

Ni mtu mpumbavu sana
 

Msituchoshe:

 
Kasema uwongo?
 
Ukijeuka kuwa mpinga ccm unakua kwenye reli hata kama ni reforms za chama ,mifumo ya hovyo ndiyo inatuletea viongozi wa hovyo hujasanuka tu
 
whatever, as long as ametupa undani wa kinachoendelea. Hiyo inatosha sana. Definitely lazima na yeye apate anachokihitaji, haina ubaya as long as hakiko nje ya sheria na taratibu za nchi
 
..IKIIMARIKA CHAMA CHAKE, NA VINGINE PIA..
 
Sawa yatasaidia kuleta mageuzi mpaka nje.
 
Maslahi ya CDM ni Maslahi ya Wananchi na wana CCM wanaopenda Haki.
Kama CCM itabomolewa na Kusukwa Upya,mifumo ya Kupiga kura ikawekwa sawa na uchaguzi ukawa huru na haki,bila kujali itikadi za Vyama,hata kama CCM itaendelea kushinda kila Uchaguzi haina shida.
Kwa hiyo anachofanya Polepole anapigania mabadiliko ndani ya CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…