Msife kihoro:Kidumu chama fulani!!!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361

Wat wafe kihoro tu!
Huyu dada wa chama fulani anakutumia salamu, maisha si kukunjiana ndita!Take it easy chums!!!
 
Mtambo wa ukweli!....Nusu kuku itakuwa kama kaonja tu!😛arty:
 
Nyoka wa mdimu hao.

Hicho chama inabidi kukiogopa kama Ukoma kwa sasa hadi hapo kitakaposafishwa.

Ukiingia pekupeku kuchuma ndimu, mhhhhhhhhhh ataku-MEMBE.

Wat wafe kihoro tu!
Huyu dada wa chama fulani anakutumia salamu, maisha si kukunjiana ndita!Take it easy chums!!!

Gwaki una utani weye! umemaliza kabisa hapa! LOL!

Nyoka wa mdimu hao.

Hicho chama inabidi kukiogopa kama Ukoma kwa sasa hadi hapo kitakaposafishwa.

Ukiingia pekupeku kuchuma ndimu, mhhhhhhhhhh ataku-MEMBE.

Hakisafishiki mtu wangu! kila mmoja anamtumpia mpira mwenzake kama Adamu alivyosema ni Hawa kasababisha yeye akala tunda!
 
Gwaki una utani weye! umemaliza kabisa hapa! LOL!

Hakisafishiki mtu wangu! kila mmoja anamtumpia mpira mwenzake kama Adamu alivyosema ni Hawa kasababisha yeye akala tunda!

Mkuu Waberoya tukomae tu kwa kwenda mbele,ninaloliogopa ni hilo joka la mdimu,aliyelileta kwanza kakatika mkono,pili kaondolewa mjengoni kabsaa!!
Kidumu chama fulani!
 
Kwani ni nani huyo?Mwenye data kamili atutonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…