Msifie mwanamke/ mwanaume aliye jirani nawe

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Leo sijui nimeamkaje ila mnivumilie tu..

Huu ni Uzi maalum wa kusifia uzuri wa wanawake (kwa mwanaume na wanawake) na uzuri/u handsome au utanashati wa wanaume (KWA WANAWAKE TU)

Nikianza Mimi hapa....nipo napata chakula mitaa Fulani sasa hapa jirani pembeni yangu kuna demu ni mzuri balaa. Amesuka rasta, umbo la wastani, maji ya kunde, amevaa gauni fupi la damu yavmzee....daaaah kweli mungu kaumba.....

Wewe jeee
 
Mimi nipo kazini hapa naendelea na majukumu kuna maiti nimetoka kumweka kwenye jokofu hadi roho imeuma alikua kaumbika sana.
 
Aiseee..... Marehemu alikuwa ni chombo...., apumzike kwa amani
 
Leo sijui nimeamkaje ila mnivumilie tu..

Huu ni Uzi maalum wa kusifia uzuri wa wanawake (kwa mwanaume na wanawake) na uzuri/u handsome au utanashati wa wanaume (KWA WANAWAKE TU)

Nikianza Mimi hapa....nipo napata chakula mitaa Fulani sasa hapa jirani pembeni yangu kuna demu ni mzuri balaa. Amesuka rasta, umbo la wastani, maji ya kunde, amevaa gauni fupi la damu yavmzee....daaaah kweli mungu kaumba.....

Wewe jeee
weka picha kwanza
 
mke wa babu yangu mzuri hatariiii pamoja na uzee wote babu ana haki ya kuringa
 
Back
Top Bottom