Aiseee..... Marehemu alikuwa ni chombo...., apumzike kwa amaniMimi nipo kazini hapa naendelea na majukumu kuna maiti nimetoka kumweka kwenye jokofu hadi roho imeuma alikua kaumbika sana.
weka picha kwanzaLeo sijui nimeamkaje ila mnivumilie tu..
Huu ni Uzi maalum wa kusifia uzuri wa wanawake (kwa mwanaume na wanawake) na uzuri/u handsome au utanashati wa wanaume (KWA WANAWAKE TU)
Nikianza Mimi hapa....nipo napata chakula mitaa Fulani sasa hapa jirani pembeni yangu kuna demu ni mzuri balaa. Amesuka rasta, umbo la wastani, maji ya kunde, amevaa gauni fupi la damu yavmzee....daaaah kweli mungu kaumba.....
Wewe jeee
Unataka kutumia kwenye shughuli gani hiyo picha.weka picha kwanza
ahahaha kuona tuUnataka kutumia kwenye shughuli gani hiyo picha.
Haina noma hunter huwa kuna matumizi mengi hunterahahaha kuona tu
hahahah mi kuona yatosha hunter..yale mengine hapanaHaina noma hunter huwa kuna matumizi mengi hunter