Na ile hoteli idodomya, kwa mkapa kunalipa sanaa wanajbutulia tuKajenga nyumba pale Mabwepande yenye muonekano wa ikulu, yaani uibe hadi plan??
Msigwa ni mpumbavu sana amekuwa chawa kiliko machawa wenyewe.One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu Serikali ya Tanzania kujenga miradi kwa fedha zake imepotoshwa. Ameeleza kuwa hakumaanisha ilivyochorwa au kusambazwa na baadhi ya watu, akisisitiza kuwa kauli hiyo imefanyiwa spinning.
Spinning ni nini?
Kauli ya mtu inachukuliwa,Inapindishwa au inapewa mwelekeo tofauti,Kwa lengo la kuibua tafsiri inayomnufaisha anayeisambaza au kumharibia sifa aliyesema.
Spinning maana yake video imekatwa kuficha maneno ya awali au baada , na siyo kwamba siyo kauli yake.Hahahahah elewa neno imefanyiwa Spinning maana yake si kauli yake imefanyiwa uhariri, kwa lugha rahis ameikana
πππππKajenga nyumba pale Mabwepande yenye muonekano wa ikulu, yaani uibe hadi plan??
Songea kashusha bonge la Hotel, likikamilika hili watu wanaula aseeee.Na ile hoteli idodomya, kwa mkapa kunalipa sanaa wanajbutulia tu
Kafafanua nini hapo? Alisema miradi ni pesa za ndani hapo hapo kasema ni mikopo which is which?Mbona hamna sehemu aliyokana ila kafafanua
Ujambazi wao wameubariki, wakifanya wengine kosaaSongea kashusha bonge la Hotel, likikamilika hili watu wanaula aseeee.