Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki.
Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji Msigwa la kwenda kuridhiana na Mwenyekiti ili Tundu Lissu nayeye aamini suala la maridhiano.
My take: Siasa ni sanaa. Tuamke.