Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema.
Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya kisiasa (kama ukuu wa wilaya) na kulipwa haki zake zote za kuitumikia CCM katika kuibomoa CHADEMA.
Je, mchungaji atatema bungo?
Muda utasema yote.