Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Usiwapangie watu cha kuandika ,wewe mbona unajaza utaahira wako humu lakini mods wanakuvumilia unafikiri hili jukwaa ni la babako pimbi wewe.Acheni kuandika ujinga ujinga tu hapa jukwaani utafikiri mnawaandikia watoto wenzenu.
Naona machozi yanavyo kubugukilaaa Hadi mashavuniAcheni kuandika ujinga ujinga tu hapa jukwaani utafikiri mnawaandikia watoto wenzenu.
Ataenda wapi tenaWakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema.
Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya kisiasa (kama ukuu wa wilaya) na kulipwa haki zake zote za kuitumikia CCM katika kuibomoa CHADEMA.
Je, mchungaji atatema bungo?
Muda utasema yote.
Bila shaka unabubujikwa na machozi ya huzuniAcheni kuandika ujinga ujinga tu hapa jukwaani utafikiri mnawaandikia watoto wenzenu.
Akitaka kuteuliwa haraka ajiunge na Kundi la Samia QueensAcheni kuandika ujinga ujinga tu hapa jukwaani utafikiri mnawaandikia watoto wenzenu.