Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kaanza kuogopa tarehe 29, lazima wanajeshi wamtoe hiyo bikraWalikuwa wanaongea kwa dharau kuhusu Tesha, kiko wapi sasa, kwa kifupi huyo mjinga hapo ameshafahamu upepo unapoelekea na anakuwa mjanja kwa kila kauli anayoitoa kuhusu Captain tofauti na ambavyo huwa anaropoka hovyo.
Yule Captain aliposema jeshi katika sehemu kubwa lipo upande wa wananchi hakukosea.
Ameshapata taarifa kipi kinaendelea huko jeshini, mara ya kwanza chawa walikuwa wanazungumza kwa dharau kwamba yule Captain si mwanajeshi, itakuwa wamepata salamu zao na sasa wameanza kujikomba ili kujinusuru.Kaanza kuogopa tarehe 29, lazima wanajeshi wamtoe hiyo bikra
Kwani siyo mjinga mmoja tena? Mwanzo alikejeli akidhani bado tunasoma alifu kwa kijiti kumbe tushamaliza juzuuMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akijibu Kapteni Tesha baadaya video yake kusambaa mitandaoni, amesema, Watanzania tusithubutu kucheza na maswala yanayohusu Jeshi letu la Ulinzi hiki ni chombo chetu nyeti, ndiyo taasisi yetu ya mwisho ya kuhakikisha mipaka yetu, na sisi tuko salama.
Soma
- Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni
Mhhh hi jina yako hiiKwani siyo mjinga mmoja tena? Mwanzo alikejeli akidhani bado tunasoma alifu kwa kijiti kumbe tushamaliza juzuu
Limefanya nini?Mhhh hi jina yako hii