Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto.
Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye.
Sasa wewe unawaambia wengine wajifunze kusikiliza lakini wewe hutaki kusikiliza kuna uhuru gani wa wananchi kuuliza maswali yao juu ya suala hili?
Cha kuchekesha sasa, mtu anayekuja na porojo anapewa muda mwingi halafu wenye mambo ya maana wanaambiwa unatumia jina feki na visingizio kibao.