Waitara: Katibu Mkuu wa Habari anazungumza hadharani “Mkivujisha siri mtaokotwa”, Viongozi tunawachanganya Wananchi

Kila mbunge wa ccm alimpngeza Samia suluhu Hassan haya ni maelekezo au ni uchawa na upumbavu wa Wana ccm tu?
Huyu ninaye muona hapa ni bulaya yule yule au mwingine? Kapewa nn bulaya hata kuwa mpumbavu kiasi hiki?
Ndumbaro ni PhD holder kweli?
 
Bulaya?

Amandla...
 
Hii taarifa iliyosemwa na msemaji serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari na michezo kusema kuwa watakaokotwa wakiwa maiti siyo nzuri

Hivi msemaji wa serikali hajui uwepo wa vyombo kama police na mahakama?

Kwamba watumishi wakikiuka kiapo chao na kutoa Siri za serikali basi washitakiwe na wapate hukumu ya mahakama

Yaani mtumishinwa serikali anajisifu kuuwa watu na kuwafanywa waokotwe wakiwa mizoga
Hichi ni kiburi

Screenshot_20260617-122204.png
 
Kama nchi hapa ndo tumefikia !

Mihimili ipo tu kama picha/sanamu ! Ila maelekezo yanatoka juu, na hakuna wa kupinga/kuingilia
 
Hii taarifa iliyosemwa na msemaji serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari na michezo kusema kuwa watakaokotwa wakiwa maiti siyo nzuri

Hivi msemaji wa serikali hajui uwepo wa vyombo kama police na mahakama?

Kwamba watumishi wakikiuka kiapo chao na kutoa Siri za serikali basi washitakiwe na wapate hukumu ya mahakama

Yaani mtumishinwa serikali anajisifu kuuwa watu na kuwafanywa waokotwe wakiwa mizoga
Hichi ni kiburi

View attachment 3609759
Sasa wamtupe Polepole tumwokote tukamzike.
 
Hizo nguvu zingetumika kwa watoa na wapokea Rushwa pia na wanaojilimbikizia mali zisizo zahalali taifa kama taifa lingekuwa mbali...Mfano, ukikutwa unapokea au kutoa Rushwa hakuna mjadala ni kupotezwa, hvo hvo kwa Mafisadi..Unadhani hzo siri za serikali zingevuja?...Moja ya sababu ya kuvuja kwa siri za serikali ni viashiria vya uwepo wa Rushwa....USHAURI. kabla ya kufika huko kuwapoteza wanaovujisha siri za serikali kwanza Hakikisheni Rushwa na Ufisadi mnadhibiti haswaa.
 
Back
Top Bottom